Sekta ya utalii inachangia 11% ya ajira - Makani

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Ing. Ramo Makani amesema kwamba sekta ya utalii nchini imeendelea kufanya vyema katika nyanja tofauti ikiwemo ajira, pato la taifa na kuingiza asilimia 25 ya fedha za kigeni nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS