Zoezi la kuzima simu feki lipo pale pale -Ngonyani Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola CCM ameomba muongozo bungeni kuhusu agizo la serikali kwamba Mamlaka ya Mawasiliano Nchini TCRA itazima simu feki ifikapo Juni 16 akitaka bunge lijadili jambo hilo. Read more about Zoezi la kuzima simu feki lipo pale pale -Ngonyani