Halmashauri acheni urasimu utoaji hati miliki
Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi imezitaka Halmashauri zote nchini kuacha urasimu kwenye mchakato wa utoaji hati miliki sambamba na kuwapa wananchi elimu ya kutosha juu ya sifa na nyaraka muhimu zinazohitajika katika upatikanaji wa hati.