Polisi hawana makazi yakueleweka Nkasi - Kessy
Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini kupitia CCM, M Ali Mohamed Kessy, ameliambia Bunge Mjini Dodoma kwamba askari polisi katika jimbo lake wanateseka kwa makazi mabovu kwenye vituo na nhata nyumba zao za kulala nyingine hazina milango.