Alex Msama, akionesha mbele ya waandishi wa habari, stika za TRA ambazo hutumika kwenye kazi feki za wasanii.
Kampuni ya Msama Promotions imeeleza kuwabaini maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wanaouza stika halisi za mamlaka hiyo kwa ajili ya kutumika kuuzia bidhaa bandia, ikiwemo kazi feki za sanaa.