Mashindano ya Dance100% yaanza kwa hamasa kubwa
Mashindano ya kusaka vipaji kwa vijana wenye uwezo wa kucheza maarufu kama Dance100% msimu wa mwaka huu 2016 yameanza jana katika viwanja vya Leaders Jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na mamia ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali.

