Rais Magufuli anaishi kwenye maneno yake - Mrema

Rais Dkt. John Magufuli alipokuwa akifanya kampeni za uchaguzi wa mwaka jana jimbo la Vunjo akiwa na Dkt. Augustine Mrema

Mwenyekiti wa TLP Dkt. Augustino Lyatonga Mrema amesema Rais Dkt. John Magufuli anaishi kwenye maneno yake kwa kuwa mwaka jana alipofika kwenye jimbo la Vunjo aliwaambia wananchi wamchague Mrema na wasipomchagua atampa kazi, jambo ambalo ametimiza

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS