NEC yarudisha chenji kwa Dkt. Magufuli
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekabidhi shilingi bilioni 12 kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, zilizobaki baada ya uchaguzi mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais uliofanyika tarehe 25 Oktoba, 2015.