Magufuli amkabidhi Augustino Mrema Bodi ya Parole

Dkt John Magufuli (Kushoto) na Augustino Mrema wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka jana

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa mamlaka aliyopewa amefanya uteuzi wa viongozi na watendaji wa taasisi mbalimbali za Serikali, na pia amewapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS