Dimitri Payet Kiungo wa klabu ya Westham, Dimitri Payet amesema hana mpango wa kuondoka kwenye klabu hiyo kwa msimu huu, amesema hayo kufuatia kuwapo kwa tetesi kuwa vilabu mbali mbali barani Ulaya vinamtaka. Read more about Dimitri Payet