Wasanii wa bongo hawana uelewa na muziki -Dudubaya Msanii Godfrey Tumain au Dudubaya amesema lebo nyingi za muziki zinafeli kwenye muziki kutokana na wasanii waliopo hawana uelewa juu ya kazi yao ya muziki. Read more about Wasanii wa bongo hawana uelewa na muziki -Dudubaya