Wabunge kususia Bunge ilikuwa sanaa-Mlinga
Mbunge wa Jimbo la Ulanga Goodluck Mlinga amesema kwamba kitendo cha wabunge wa upinzani kususia vikao vya bunge la bajeti lililopita kwa kisingizio cha kutokuwa na imani na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson ni sanaa ya kisiasa.

