Vilabu vyatakiwa kufuata kanuni na sheria
Rais wa Shirikisho la Soka nchini TFF, Jamal Malinzi amevitaka vilabu shiriki vya ligi hapa nchini kufuata taratibu na kanuni zinazowaongoza katika kubadilisha muundo wa umiliki wa klabu na viongozi ili kuweza kuepusha migogoro ndani ya vilabu vyao.

