Samatta afunga bao Europa League, aweka historia
Mtanzania Mbwana Samatta alifungia timu yake ya KRC Genk bao la pili, dhidi ya Buducnost ya Montenegro Uwanja wa Luminus Arena mjini Genk,akicheza mechi ya kwanza katika michuano ya pili kwa ukubwa barani Ulaya.

