UMISETA Dar es salaam yaahidi kurudisha ushindi Timu shiriki za michuano ya michezo ya Shule za Sekondari UMISETA Mkoa wa Dar es salaam zaahidi kurudisha heshima ya mkoa katika mashindano hayo. Read more about UMISETA Dar es salaam yaahidi kurudisha ushindi