Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mama Salima Kikwete, mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne baada ya kuwasili mjini Lindi kwa ziara ya kikazi
WAZIRI MKUU Kasim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inaunga mkono dini zote nchini na kuzipa ushirikiano wa kutosha ili ziweze kufanya kazi zake vizuri.