Yanga na kibarua cha ushindi kwa Medeama leo Taifa
Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga SC leo watakuwa katika kibarua cha kusaka ushindi wa kwanza katika Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika, watakapomenyana na Medeama ya Ghana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

