Yanga yaendelea kujifua dhidi ya Medeama
Katika maandalizi ya kuelekea katika mchezo wake wa tatu dhidi ya Medeama, Kocha Msaidizi wa Klabu ya Yanga Juma Mwambusi amesema wanaendelea kuwajenga wachezaji kisaikolojia ili kuweza kufanya vizuri katika mchezo huo.

