"Miundombinu inakwamisha shughuli ya zimamoto" Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto nchini Thobias Andengenye amesema bado kuna changamoto kubwa ya miundombinu mibovu ambayo inakwamisha magari ya zimamoto yasifike eneo la tukio kwa wakati muafaka. Read more about "Miundombinu inakwamisha shughuli ya zimamoto"