Bomoeni kikosi chote Mtibwa ipo palepale-Maxime
Siku moja baada ya mlinzi wa kati wa Mtibwa Sugar, Andrew Vicent 'Dante' kusaini mkataba wa miaka miwili Jangwani, Kocha wa Mtibwa Sugar, Mecky Mexime amesema kuwa siyo huyo tu wakitaka wabomoe kikosi kizima na Mtibwa itabaki palepale.