B.O.B hatuna tatizo na Makochali:Beka Tittle Msanii wa Bongo Fleva Beka Tittle Mmoja kati ya memba wa kundi la B.O.B micharazo Beka Tittle amefunguka juu ya bifu inayohusishwa dhidi yao na muandaaji wa muziki Bongo Makochali. Read more about B.O.B hatuna tatizo na Makochali:Beka Tittle