Zitto ahojiwa na Polisi na kuachiwa kwa dhamana.
Mbunge wa kigoma mjini na Kiongozi wa chama cha Act wazalendo Zitto Zuberi Kabwe anahojiwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam kwa madai ya kumchonganisha Rais Magufuli na wananchi katika mkutano aliofanya Mbagala.