Azam FC yaanza na ushindi wa 2-0 dhidi ya Ashanti

Kocha mpya wa Azam FC, Mspaniola Zeben Hernandez Rodriguez ameanza kwa ushindi wa mabao 2-0 asubuhi ya leo katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Ashanti United ya Daraja la Kwanza Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS