Wachimbaji walalamikia ulanguzi wa dhahabu

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Medard Kalemani.

Baadhi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu Mkoani Katavi, wameiomba serikali kufanya utafiti wa dhahabu inayosafirishwa nchi za Uganda na Kenya kwa njia ya panya na kuuzwa kwa bei ya chini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS