Vinega na Anti Virus imebadili game -Danny Msimamo Msanii wa Hip Hop wa hapa bongo Danny Msimamo, amesema game la muziki sasa hivi limebadilika tofauti na zamani, ambapo sasa muziki unaingiza pesa nyingi kwa wasanii. Read more about Vinega na Anti Virus imebadili game -Danny Msimamo