Vijana watumike katika kukuza uchumi-Dkt.Mayaki

Mtendaji Mkuu wa Chombo cha Utendaji cha Umoja wa Afrika NEPAD, Dkt. Ibrahim Mayaki.

Mtendaji Mkuu wa Chombo cha Utendaji cha Umoja wa Afrika NEPAD, Dkt. Ibrahim Mayaki amesema Afrika inahitaji juhudi za pamoja kukuza sekta ya viwanda itakayosaidia kukuza uchumi wa bara la Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS