Tukimaliza kuhakiki tutalipa madeni-Bi.Kairuki

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala bora, Bi. Angela Kairuki.

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala bora, Bi. Angela Kairuki amesema serikali italipa madeni ya wazabuni na ya watumishi wwa serikali bila matatizo baada ya kuhakikiwa na kijiridhisha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS