Wabunge wanaosusia vikao kutolipwa posho-Dkt.Tulia

Naibu Spika wa Bunge Tulia Ackson leo amejibu mwongozo wa Mbunge wa Nkasi Kaskazini Ali Kessy CCM aliyeomba mwongozo kuhusu wabunge ambao wanagomea vikao huku waiingiza hasara ya milioni 42 kila wiki kwa malipo ya posho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS