Kavumbagu aendelea na mazungumzo na Mbeya City FC Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbagu Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbagu ameanza mazungumzo na Timu ya Mbeya City na muda mchache ujao inaweza kumtangaza rasmi kuwa mchezaji wao. Read more about Kavumbagu aendelea na mazungumzo na Mbeya City FC