Rais Barack Obama Rais Barack Obama ameongea kwa njia ya simu na rais Uhuru Kenyatta na kuahidi serikali yake kuisaidia Kenya ili kuhakikisha mahitaji ya wakimbizi na jamii zinazoishi karibu na wakimbizi yanatimizwa. Read more about Rais Barack Obama