Makampuni yasiwabebeshe 10% wananchi-Mpango
Serikali imeigiza Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano nchini (TCRA), ifitalie kwa karibu miamala ya utumaji fedha kwa njia ya simu ili makampuni yasiwaongezee mzigo wananchi katika ulipaji kodi wa asilimia 10 kama ilivyotangazwa.