Watu milioni 250 duniani waathirika wa Mihadarati Moja ya aina ya Mihadarati aina ya Bangi Karibu asilimia tano ya watu wazima au watu milioni 250 wenye umri kati ya miaka 15 na 64 wametumia japo aina moja ya mihadarati kwa mwaka 2014. Read more about Watu milioni 250 duniani waathirika wa Mihadarati