Dar na Dodoma zinaongoza mapenzi ya jinsia moja Takwimu zilizotolewa na wizara ya afya, maendeleo ya jamii jinsia , watoto na wazee nchini zinaonyesha kuwa mkoa wa Dar es salaam na Dodoma inaongoza kwa vitendo vya mapenzi ya jinsia moja Read more about Dar na Dodoma zinaongoza mapenzi ya jinsia moja