Wanaouza na kusambaza pembejeo feki kukiona

Waziri wa Kilimo,Mifugo na uvuvi Dkt.Charles Tizeba amesema ofisi yake imewabaini baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu ambao wanauza pembejeo za kilimo ambazo hazijakaguliwa na mamalaka zinazosimamia ubora wa bidhaa nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS