Azam FC yamaliza kambi Zanzibar kwa ushindi wa 1-0 Azam FC imemaliza kambi ya Zanzibar kwa kuichapa timu ya Taifa ya Jang’ombe bao 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na msimu mpya usiku wa jana Uwanja wa Amaan, visiwani humo. Read more about Azam FC yamaliza kambi Zanzibar kwa ushindi wa 1-0