Hati za kusafiria OEU kuanza kutolewa kwa makundi Baada ya kumalizika kwa mkutano wa nchi wananchama wa umoja wa Afrika AU uliofanyikia mjini Kigali Rwanda na kuzinduliwa kwa pasi moja yakusafiria,pasi hizo zimeanza kutolewa kwa makundi maalumu. Read more about Hati za kusafiria OEU kuanza kutolewa kwa makundi