Serikali haitagawa chakula cha msaada - Magufuli

Rais Magufuli akimtambulisha aliyekuwa mbunge wa Kahama James Lembeli, wakati wa mkutano wake wilayani humo, leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema serikali yake haitagawa chakula cha bure kwa wananchi wanaopatwa na tatizo la njaa pasipo kuwa na sababu za msingi

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS