Aveva anywea mbele ya wanachama wa Simba
Baada ya kilio cha muda mrefu kwa wanachama wa klabu ya Simba kutaka mabadiliko ya katiba ili kukaribisha wanachama wenye uwezo kununua hisa za klabu hiyo, ili kuinusuru kuanguka kiuchumi, hatimaye leo kilio hicho kimesikika.

