Zimamoto kuongeza vituo vyake vya kisasa Dodoma
Kutokana na agizo la Rais lakutaka ofisi zote za serikali kuhamia mkoani Dodoma,tayari ofisi ya zimamoto imewasilisha maombi kwenye mamlaka ya ustawishaji mkoani humo kwa ajili ya kupatiwa eneo la ujenzi wa makao makuu ya zimamoto.

