Usafi wa mazingira ya Jiji la Dar uboreshwe

Uongozi wa jiji la Dar es salaam umetakiwa kuendeleza juhudi za kuimarisha hali ya usafi na utunzwaji wa mazingira sambamba na kuifanya jiji la Dar es salaam kuwa na muonekano wa kibiashara na kivutio kwa wageni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS