Watanzania 5000 kupata ajira uwanja mpya wa ndege

Sehemu ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mwl.Nyerere

Takribani watanzania 5000 wanatarajia kupata ajira ambazo zitazalishwa baada ya kukamilika kwa upanuzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl.Julius Nyerere uliopo Jijini Dar es salaam ambao unaendelea kujengwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS