Mil 600 hutumika kuhudumia wagonjwa wa msamaha

Hosiptali ya Taifa Muhimbili imewataka Watanzania kuhakikisha wanajiunga na bima ya Afya ili kuepuka garama kubwa za matibabu sambamba na kuipunguzia gharama kubwa hosptali hiyo yakutumia shilingi milioni 600 kuwahudumia wagonjwa wa msamaha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS