Mbarawa amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa ATCL

Waziri wa Ujenzi Prof Makame Mbarawa

Waziri wa Ujenzi Prof. Makame Mbarawa amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege ATCL Kapten Johnson Mfinanga na Mkurugenzi wa Uendeshaji Kapten Sadick Muze kwa kosa la kumchagua rubani asiye na sifa kwenda kupata mafunzo Canada.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS