Utapiamlo utotoni chanzo tatizo la figo, kisukari

Asilimia 35 ya watoto chini ya umri wa miaka 5 nchini wanasumbuliwa na utapiamlo idadi ambayo imeshuka kutoka asilimia 42 kwa muda wa miaka 5 lakini bado asilimia 50 ya vifo vya watoto husababishwa na utapiamlo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS