BASATA yawataka washiriki Dance100% kuwa wabunifu
Baraza la Sanaa Tanzania BASATA limewataka washiriki wa Dance100% ambao wamefanikiwa kuendelea na nafasi ya robo fainali baada ya kushinda kwenye usaili kutambua kwamba ubunifu ndiyo msingi wa mafanikio katika kazi za sanaa.

