Baada ya madawati, Mbeya kuhamia kwenye vyoo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla akikagua madawati Baada ya kumalizika kwa shughuli ya utatuzi wa changamoto ya madawati sasa mkoa wa Mbeya umejipanga kuelekeza nguvu zake katika utatuzi wa tatizo la upungufu wa vyoo mashuleni. Read more about Baada ya madawati, Mbeya kuhamia kwenye vyoo