Upinzani wafanya vizuri uchaguzi Afrika Kusini Kiongozi wa Chama Tawala cha Afrika Kusini ANC,Jacob Zuma Vyama vya upinzani nchini Afrika Kusini vinaonekana kufanya vizuri kwenye baadhi ya maeneo katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika wiki hii nchini humo. Read more about Upinzani wafanya vizuri uchaguzi Afrika Kusini