Manny Pacquiao arejea tena kwenye ndondi

Bondia wa ngumi Manny Pacquiao

Bondia wa ngumi Manny Pacquiao ametangaza kurejea ulingoni tarehe 5 Novemba kupambana na bingwa wa dunia wa uzani wa welter, Jessie Vargas kutoka Marekani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS