Jessie Vargas na Manny Pacquiao.
Mwanandondi Manny Pacquiao atarejea ulingoni tarehe 5 Novemba kupambana na bingwa wa dunia wa uzani wa welter Jessie Vargas wa Marekani licha ya kuwa alitangaza kwamba angestaafu baada ya kumshinda Timothy Bradley mwezi Aprili.
