Rais wa IAAF, Lord Coe atishiwa maisha

Rais wa chama cha riadha duniani IAAF, Lord Coe, amepokea jumbe za kutishiwa maisha kwenye mitandao ya kijamii, huku yakiwa yamebaki masaa machache kuzinduliwa kwa michezo ya Olimpiki huko Rio Brazil, usiku wa leo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS